Changamoto Zinazomkabili Mhusika wa Kiume katika Riwaya ya Nguu za Jadi

July 2025
Vol-11, Issue-4
Paper ID: 27091
ISSN: 2395-4396
Downloads: 0

Abstract & Details

Research Area
Lugha na Fasihi Idahara Ya kiswahili
Keywords
Maneno Muhimu: changamoto mhusika jinsia nadharia uhalisia na fasihi
Abstract
Makala hii imebainisha changamoto zinazomkabili mhusika wa kiume katika riwaya ya Clara Momanyi; Nguu za Jadi (2021). Katika enzi zetu mwanamke amewekwa mbele kinyume na ilivyokuwa wakati dunia ilikuwa imetawaliwa na ubabedume. Inaonekana kana kwamba mambo yamebadilika. Mabadiliko haya yamemwathiri mwanamume katika jamii. Tafiti nyingi za hapo awali zinaonekana kuegemea zaidi kwenye aina za dhuluma zinazowakumba wanawake katika jamii za Kiafrika. Jambo hili linaathiri jamii kwa kuipa mtazamo kuwa, jinsia ya kiume haikabiliwi na matatizo yoyote. Makala hii iliogozwa na nadharia ya uhalisia. Nadharia ya uhalisia inadai kwamba, fasihi inatakiwa kutoa picha halisi ya jamii husika. Nadharia hii ilizuka huko Ulaya katika karne ya kumi na tisa. Makala hii itatoa mwanga mkubwa kuhusiana na masuala ya jinsia ya kiume. Aidha, utafiti huu utakuwa kichocheo cha watafiti wa baadaye wa fasihi kuchunguza masuala yanayohusu jinsia ya kiume. Halikadhalika, kutokana na makala hii, jamii itaweza kubaini changamoto mbalimbali zinazoikabili jinsia ya kiume na athari ya changamoto hizo na hivyo itabuni mikakati ya kukabiliana nazo.

Author Information

# Name Institute / Affiliation
1 Agnes Mwongeli Kiema Machakos University
2 John Mutua Machakos University
3 Sarah Ndanu Ngesu South Eastern Kenya University.

How to Cite

Use the following formats to cite this article in your research.

APA Style
Kiema, Agnes Mwongeli, Mutua, John, & Ngesu, Sarah Ndanu (2025). Changamoto Zinazomkabili Mhusika wa Kiume katika Riwaya ya Nguu za Jadi. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 11(4), 526-530.
MLA Style
Kiema, Agnes Mwongeli, et al. "Changamoto Zinazomkabili Mhusika wa Kiume katika Riwaya ya Nguu za Jadi." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, 2025, pp. 526-530.
IEEE Style
Agnes Mwongeli Kiema, John Mutua, and Sarah Ndanu Ngesu, "Changamoto Zinazomkabili Mhusika wa Kiume katika Riwaya ya Nguu za Jadi," International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, pp. 526-530, 2025.
Vancouver Style
Kiema Agnes Mwongeli, Mutua John, Ngesu Sarah Ndanu. Changamoto Zinazomkabili Mhusika wa Kiume katika Riwaya ya Nguu za Jadi. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education. 2025;11(4):526-530.
Harvard Style
Kiema, Agnes Mwongeli, Mutua, John, & Ngesu, Sarah Ndanu (2025) 'Changamoto Zinazomkabili Mhusika wa Kiume katika Riwaya ya Nguu za Jadi', International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 11(4), pp. 526-530.
Chicago Style
Kiema, Agnes Mwongeli, John Mutua, and Sarah Ndanu Ngesu. "Changamoto Zinazomkabili Mhusika wa Kiume katika Riwaya ya Nguu za Jadi." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 11, no. 4 (2025): 526-530.
Turabian Style
Kiema, Agnes Mwongeli, John Mutua, and Sarah Ndanu Ngesu. "Changamoto Zinazomkabili Mhusika wa Kiume katika Riwaya ya Nguu za Jadi." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 11, no. 4 (2025): 526-530.

Export Citation

Related Research

TESTING CRONE 1
Isha Patel 2026 science & humanities
Download PDF
THE IMPACT OF POLITENESS STRATEGIES AND SPEECH ACTS ON CUSTOMER SATISFACTION: A CASE STUDY OF SMALL AND MEDIUM-SIZED ENTERPRISES IN THAI NGUYEN PROVINCE
Nguyen Thanh Binh 2026 Applied Linguistics; Pragmatics; Customer Communication in SMEs
PDF Unavailable
Narrative as Art: Teaching Contemporary Indian Fiction through Creative Pedagogies
A Mariamma Angel et al. 2025 English Literature
PDF Unavailable