ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA

January 2026
Vol-12, Issue-1
Paper ID: 27964
ISSN: 2395-4396
Downloads: 0

Abstract & Details

Research Area
Kiswahili na Fasihi
Keywords
Maneno muhimu Athari za Nyimbo Nyenzo ya Ufundishaji Shule za Chekechea
Abstract
IKISIRI Utafiti huu ulinuia kutathmini nyimbo za Kiswahili zinazotumika katika shule za chekechea kama nyenzo ya ufundishaji katika kata nne za Kaunti ya Makueni ambazo ni Mukaa, Kilungu, Kathonzweni na Makueni. Kaunti ya Makueni ina idadi ya kata tisa kwa ujumla. Kata hizi nne ziliteuliwa kwa sababu utafiti wa awali ulionyesha kwamba kwenye kata hizo kuna shule za chekechea ambazo zina mchanganyiko wa walimu na wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini Kenya na waliozungumza lugha asili tofauti. Hivyo, nyimbo za Kiswahili zilitumika katika ufundishaji katika sehemu kubwa kwa kuwa zilieleweka na wanafunzi wote. Shule saba za kiserikali na tatu za kibinafsi ambazo zenye wanafunzi wengi zilishughulikiwa katika utafiti huu. Shule mbili hadi tatu zilichaguliwa katika kila kata kulingana na idadi ya wanafunzi na maeneo ya shule hizo. Mbinu za kusudio ilitumika kuchagua nyimbo za Kiswahili ishirini na tano kwa jumla. Madhumuni ya utafiti huu ilikuwa ni; Mosi, kuainisha aina za nyimbo za Kiswahili zilizotumika kama nyenzo ya ufundishaji katika shule za chekechea nchini Kenya. Pili, kubainisha namna nyimbo za Kiswahili zilivyotumika kama nyenzo ya ufundishaji na tatu, kufafanua athari za matumizi ya nyimbo za Kiswahili kama nyenzo ya ufundishaji katika shule za chekechea. Utafiti uliongozwa na nadharia ya kiutambuzi iliyoasisiwa na Jean Piaget mwaka wa 1954. Sampuli lengwa ilikuwa ni shule saba za kiserikali na tatu za kibinafsi. Pia, mbinu ya hojaji ilitumika katika ukusanyaji wa data kutoka kwa walimu. Data ya utafiti huu ilichanganuliwa kwa kutumia njia ya kimaelezo na kitakwimu. Utafiti huu umebaini kwamba nyimbo za Kiswahili ni mojawapo ya nyenzo muhimu ya ufundishaji katika shule za chekechea nchini Kenya. Kwa hivyo, kila shule ya chekechea nchini ni muhimu kuzitumua katika ufundishaji. Maneno muhimu; Athari za Nyimbo, Nyenzo ya Ufundishaji, Shule za Chekechea

Author Information

# Name Institute / Affiliation
1 PIUS M MWANZA South Eastern Kenya University
2 DKT SARAH NGESU South Eastern Kenya University
3 DKT F. M. MUSYOKA South Eastern Kenya University

How to Cite

Use the following formats to cite this article in your research.

APA Style
MWANZA, PIUS M, NGESU, DKT SARAH, & MUSYOKA, DKT F. M. (2026). ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 12(1), 356-367.
MLA Style
MWANZA, PIUS M, et al. "ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 12, no. 1, 2026, pp. 356-367.
IEEE Style
PIUS M MWANZA, DKT SARAH NGESU, and DKT F. M. MUSYOKA, "ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA," International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 12, no. 1, pp. 356-367, 2026.
Vancouver Style
MWANZA PIUS M, NGESU DKT SARAH, MUSYOKA DKT F. M.. ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education. 2026;12(1):356-367.
Harvard Style
MWANZA, PIUS M, NGESU, DKT SARAH, & MUSYOKA, DKT F. M. (2026) 'ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA', International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 12(1), pp. 356-367.
Chicago Style
MWANZA, PIUS M, DKT SARAH NGESU, and DKT F. M. MUSYOKA. "ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 12, no. 1 (2026): 356-367.
Turabian Style
MWANZA, PIUS M, DKT SARAH NGESU, and DKT F. M. MUSYOKA. "ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 12, no. 1 (2026): 356-367.

Export Citation

Related Research

TESTING CRONE 1
Isha Patel 2026 science & humanities
Download PDF
THE IMPACT OF POLITENESS STRATEGIES AND SPEECH ACTS ON CUSTOMER SATISFACTION: A CASE STUDY OF SMALL AND MEDIUM-SIZED ENTERPRISES IN THAI NGUYEN PROVINCE
Nguyen Thanh Binh 2026 Applied Linguistics; Pragmatics; Customer Communication in SMEs
PDF Unavailable
Narrative as Art: Teaching Contemporary Indian Fiction through Creative Pedagogies
A Mariamma Angel et al. 2025 English Literature
PDF Unavailable
Residual and Emergent Cultures in the Fiction of Jagdish Prasad Singh
Manisha Kumari et al. 2025 English Studues and Humanities
PDF Unavailable