Changamoto Zinazowakumba wahusika wa Kiume Katika Riwaya za Kiswahili
Abstract & Details
Research Area
Kiswahiili , Fasihi na Lugha
Keywords
Kabili
Changamoto
Mhusika
Abstract
IKISIRI
Makala haya yanachambua changamoto zinazowakumba wahusika wa kiume katika riwaya ya Kiswahili. Mada hii ilichaguliwa kwa misingi kuwa suala la mwanamke limetafitiwa na watafiti wengi. Kukosekana kwa tafiti nyingi kuhusu jinsia ya kiume kumekuwa kukiathiri jamii kwa kuipa mitazamo kuwa jinsia ya kiume haikabiliwi na matatizo. Ili kufafanua changamoto zinazowakumba wahusika wa kiume, tutawarejelea waandishi mahuluti katika riwaya nne ambazo ni Mwisho wa Kosa, (1987) iliyoandikwa na Zainabu Burhani, Siku Njema, (1996) iliyoandikwa na Ken Walibora, Taswira za Mawingu, (2011) iliyoandikwa na Sinjiri Mukuba na Nguu za Jadi, (2021) iliyoandikwa na Clara Momanyi. Makala haya yanaegemea nadharia ya Mwanamume Mpya. Nadharia hii imetumika kueleza ni kwa nini baadhi ya wanaume hukaa na wake zao kwa usawa bila tabia za mfumo dume ambao huashiria kuwepo kwa taasubi ya kiume. Mbinu za utafiti zilizotumika ni usomaji wa riwaya teule kwa kina na uhakiki. Data iliyotumika katika makala haya ilitolewa maktabani. Maktabani, tasnifu, makala na vitabu vinavyohusiana na mada vilisomwa kwa kina. Uwasilishaji wa matokeo umefanyika kwa njia ya maelezo. Ni bayana kuwa utafiti huu utaifaa jamii ya wasomi wanaoshughulikia maswala ibuka katika jamii.
License
This work is licensed under a Creative
Commons
Attribution-ShareAlike 4.0 International License.
Author Information
| # | Name | Institute / Affiliation |
|---|---|---|
| 1 | Dorcas Kasiva Kimondiu | South Eastern Kenya University |
| 2 | Esther Chomba | South Eastern Kenya University |
| 3 | Francis Musyoka | South Eastern Kenya University |
How to Cite
Use the following formats to cite this article in your research.
APA Style
Kimondiu, Dorcas Kasiva, Chomba, Esther, & Musyoka, Francis (2025). Changamoto Zinazowakumba wahusika wa Kiume Katika Riwaya za Kiswahili. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 11(4), 423-434.
MLA Style
Kimondiu, Dorcas Kasiva, et al. "Changamoto Zinazowakumba wahusika wa Kiume Katika Riwaya za Kiswahili." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, 2025, pp. 423-434.
IEEE Style
Dorcas Kasiva Kimondiu, Esther Chomba, and Francis Musyoka, "Changamoto Zinazowakumba wahusika wa Kiume Katika Riwaya za Kiswahili," International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, pp. 423-434, 2025.
Vancouver Style
Kimondiu Dorcas Kasiva, Chomba Esther, Musyoka Francis. Changamoto Zinazowakumba wahusika wa Kiume Katika Riwaya za Kiswahili. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education. 2025;11(4):423-434.
Harvard Style
Kimondiu, Dorcas Kasiva, Chomba, Esther, & Musyoka, Francis (2025) 'Changamoto Zinazowakumba wahusika wa Kiume Katika Riwaya za Kiswahili', International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 11(4), pp. 423-434.
Chicago Style
Kimondiu, Dorcas Kasiva, Esther Chomba, and Francis Musyoka. "Changamoto Zinazowakumba wahusika wa Kiume Katika Riwaya za Kiswahili." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 11, no. 4 (2025): 423-434.
Turabian Style
Kimondiu, Dorcas Kasiva, Esther Chomba, and Francis Musyoka. "Changamoto Zinazowakumba wahusika wa Kiume Katika Riwaya za Kiswahili." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 11, no. 4 (2025): 423-434.
Related Research
A STUDY ON THE IMPACT OF MEDIA LITERACY PROGRAM ON hthyCOLOUR DISCRIMINATION AMONG SCHOOL CHILDREN IN CHENNAI
Download PDF
THE PRINCIPLE OF POLITENESS IN BARISTA–CUSTOMER INTERACTION AND ITS IMPACT ON CUSTOMERS AT DKN CAFE JEMBER: A PRAGMATIC STUDY
PDF Unavailable
ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA
PDF Unavailable
MARGINALIZATION OF INDIGENOUS COMMUNITIES IN THE REPORTING OF THE NUSANTARA CAPITAL CITY PROJECT
PDF Unavailable