TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA
Abstract & Details
Research Area
Kiswahiili , Fasihi na Lugha
Keywords
Maneno Muhimu: Nyimbo za Kiswahili
Nyenzo aa Ufundishaji
Shule za Chekechea
Abstract
IKISIRI
Utafiti huu ulinuia kutathmini nyimbo za Kiswahili zinazotumika katika shule za chekechea kama nyenzo ya ufundishaji katika kata nne za Kaunti ya Makueni ambazo ni Mukaa, Kilungu, Kathonzweni na Makueni. Kaunti ya Makueni ina idadi ya kata tisa kwa ujumla. Kata hizi nne ziliteuliwa kwa sababu utafiti wa awali ulionyesha kwamba kwenye kata hizo kuna shule za chekechea ambazo zina mchanganyiko wa walimu na wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini Kenya na waliozungumza lugha asili tofauti. Hivyo, nyimbo za Kiswahili zilitumika katika ufundishaji katika sehemu kubwa kwa kuwa zilieleweka na wanafunzi wote. Shule saba za kiserikali na tatu za kibinafsi ambazo zenye wanafunzi wengi zilishughulikiwa katika utafiti huu. Shule mbili hadi tatu zilichaguliwa katika kila kata kulingana na idadi ya wanafunzi na maeneo ya shule hizo. Mbinu za kusudio ilitumika kuchagua nyimbo za Kiswahili ishirini na tano kwa jumla. Madhumuni ya utafiti huu ilikuwa ni; Mosi, kuainisha aina za nyimbo za Kiswahili zilizotumika kama nyenzo ya ufundishaji katika shule za chekechea nchini Kenya. Pili, kubainisha namna nyimbo za Kiswahili zilivyotumika kama nyenzo ya ufundishaji na tatu, kufafanua athari za matumizi ya nyimbo za Kiswahili kama nyenzo ya ufundishaji katika shule za chekechea. Utafiti uliongozwa na nadharia ya kiutambuzi iliyoasisiwa na Jean Piaget mwaka wa 1954. Sampuli lengwa ilikuwa ni shule saba za kiserikali na tatu za kibinafsi. Pia, mbinu ya hojaji ilitumika katika ukusanyaji wa data kutoka kwa walimu. Kwa kuwa walimu wa shule za chekechea huwa wachache, mtafiti alishirikisha walimu wote waliofundisha shule za chekechea katika kata zilizochaguliwa. Data ya utafiti huu ilichanganuliwa kwa kutumia njia ya kimaelezo na kitakwimu.
Utafiti huu umebaini kwamba nyimbo za Kiswahili ni mojawapo ya nyenzo muhimu ya ufundishaji katika shule za chekechea nchini Kenya. Kwa hivyo, kila shule ya chekechea nchini ni muhimu kuzitumua katika ufundishaji.
License
This work is licensed under a Creative
Commons
Attribution-ShareAlike 4.0 International License.
Author Information
| # | Name | Institute / Affiliation |
|---|---|---|
| 1 | Pius M Mwanza | South Eastern Kenya University |
| 2 | DKT Sarah Ngesu | South Easter Kenya University |
| 3 | DKT F. M. Musyoka | South Eastern Kenya University |
How to Cite
Use the following formats to cite this article in your research.
APA Style
Mwanza, Pius M, Ngesu, DKT Sarah, & Musyoka, DKT F. M. (2025). TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 11(4), 146-155.
MLA Style
Mwanza, Pius M, et al. "TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, 2025, pp. 146-155.
IEEE Style
Pius M Mwanza, DKT Sarah Ngesu, and DKT F. M. Musyoka, "TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA," International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, pp. 146-155, 2025.
Vancouver Style
Mwanza Pius M, Ngesu DKT Sarah, Musyoka DKT F. M.. TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education. 2025;11(4):146-155.
Harvard Style
Mwanza, Pius M, Ngesu, DKT Sarah, & Musyoka, DKT F. M. (2025) 'TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA', International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 11(4), pp. 146-155.
Chicago Style
Mwanza, Pius M, DKT Sarah Ngesu, and DKT F. M. Musyoka. "TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 11, no. 4 (2025): 146-155.
Turabian Style
Mwanza, Pius M, DKT Sarah Ngesu, and DKT F. M. Musyoka. "TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 11, no. 4 (2025): 146-155.
Related Research
TRADITION AND MODERNITY IN DIALOGUE: THE EVOLVING ROLE OF COOPERATIVES IN ADVANCING FINANCIAL INCLUSION IN HIMALAYAN RURAL COMMUNITIES
PDF Unavailable
THE ROLE OF THE ANDHRA PRADESH SC/ST COMMISSION IN PROTECTING AND PROMOTING DALIT HUMAN RIGHTS
PDF Unavailable
HUMAN RIGHTS AND SOCIAL JUSTICE FOR DALITS: AN EVALUATION OF CONSTITUTIONAL PROTECTION MECHANISMS
PDF Unavailable
Evaluating the Role of Equitable Carbon Financing and Green Trade Policies in Enhancing Climate Justice: A Cross‑Country Empirical Study
PDF Unavailable
Shaping Modern India: A Review of Dr. Babu Jagjivan Ram’s Contributions to Policy Development for Marginalized Communities
PDF Unavailable
Woven Legacies: The Story of Gyasar Textiles
PDF Unavailable