Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania
Abstract & Details
Research Area
Political Communication
Keywords
-
Abstract
Makala haya yalikusudia kuchunguza lugha isiyostaha ilivyojitokeza katika hotuba za kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 nchini Tanzania. Lengo la Makala haya ni kubainisha lugha isiyostaha iliyojitokeza katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 nchini Tanzania. Lengo la kubainisha lugha isiyostaha katika kampeni liliongozwa na Nadharia ya Staha ya mwaka 1981 inayohusishwa na Fraser na Nolen, inayosema kwamba kila taasisi ina miongozo na kanuni inayoeleza ni lugha ipi ina staha na lugha ipi isiyostaha, kwa kuzingatia Maadili ya Uchaguzi wa Rais,Wabunge na Madiwani Mwaka 2020 (Chini ya Kifungu cha 124A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343). Kwa hiyo, katika muktadha wa kampeni, lugha isiyostaha ilikuwa ile inayokiuka maadili ya uchaguzi yaliyowekwa na Tume. Data za utafiti huu zilipatikana maktabani katika mtandao wa Youtube. Mbinu ya uchambuzi wa nyaraka ndiyo iliyotumika kukusanya data, kisha data hizo zilichambuliwa kiuelezi, ambapo imebainika kuwa lugha isiyostaha iliyojitokeza katika hotuba za kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 nchini Tanzania ni: lugha inayodhalilisha, inayoeleza tuhuma zisizothibitika, inayoonesha kutotii maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, lugha yenye kebehi, matusi, kashfa, uchochezi, kuzungumza mambo binafsi ya mgombea mwingine hadharani na lugha za jamii. Makala haya yanahitimisha kuwa hotuba za kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 nchini Tanzania zilisheheni lugha isiyostaha ambayo kulingana na muktadha wa kampeni za uchaguzi ilikuwa inatumika kwa lengo la kushawishi wapiga kura. Aidha, Makala haya yanashauri utafiti mwingine unaweza kufanyika kuchunguza athari za lugha isiyostaha katika hotuba za kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 nchini Tanzania.
License
This work is licensed under a Creative
Commons
Attribution-ShareAlike 4.0 International License.
Author Information
| # | Name | Institute / Affiliation |
|---|---|---|
| 1 | Nashukuru G. Sanga | Chuo Kikuu Kishiriki cha Jordan, Morogoro, Tanzania |
| 2 | Peter T. Mramba | Chuo Kikuu Kishiriki cha Jordan, Morogoro, Tanzania |
How to Cite
Use the following formats to cite this article in your research.
APA Style
Sanga, Nashukuru G. & Mramba, Peter T. (2025). Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 11(4), 340-361.
MLA Style
Sanga, Nashukuru G., and Peter T. Mramba. "Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, 2025, pp. 340-361.
IEEE Style
Nashukuru G. Sanga and Peter T. Mramba, "Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania," International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, pp. 340-361, 2025.
Vancouver Style
Sanga Nashukuru G., Mramba Peter T.. Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education. 2025;11(4):340-361.
Harvard Style
Sanga, Nashukuru G. & Mramba, Peter T. (2025) 'Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania', International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 11(4), pp. 340-361.
Chicago Style
Sanga, Nashukuru G. and Peter T. Mramba. "Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 11, no. 4 (2025): 340-361.
Turabian Style
Sanga, Nashukuru G. and Peter T. Mramba. "Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 11, no. 4 (2025): 340-361.
Related Research
India-Bhutan Relations in Contemporary Politics: Opportunities, Challenges, and Strategic Dimensions
PDF Unavailable
Political condition and direction of tribal women of Jharkhand
PDF Unavailable
Empowering Rural India Through Panchayat Raj Institutions: A Pathway to Inclusive Development in Post-Independence India
PDF Unavailable
Social Identity Framework and Political Divisions in Israel
PDF Unavailable
Trends of Libyan Political Media in Shaping Public Opinion
PDF Unavailable
ELECTIONS AND THE PROBLEMATIC OF STATE-BUILDING
PDF Unavailable
The new Turkish Role in the Arab Region
PDF Unavailable